Dhumuni kubwa la blog hii ni kukupa habari moto moto ,kiburudani, michezo kisiasa nk Lakini pia unaweza kutangaza biashara yako kupitia blog hii ili kukuwezesha kupata wateja katika soko la biashara yako/ . Karibu sana utembelee blog hii uweze kupata mambo mazuri yatakayokufanya usijihisi mpweke
My Blog List
Friday, May 16, 2014
ina Kabula Amteka Kimapenzi Madee Wanaongozaja kama Kumbi Kumbi
Siku za Karibuni Mwigizaji wa Sinema za Kibongo Jina kabula inasemekana amelinasa penzi la Mwaimbaji maarufu wa Bongo Flava Madee , Habari zilizozagaa ni kuwa huwa jamaa wanaongozana kila mahali kama kumbi kumbi iwe shopping kwenye maduka na hata sehemu za kuogelea...Baada ya Madee kutafutwa amekana tuhuma hizi na kusema kuna kazi wanafanya pampja ndio maana wanatembea wote kila mahali ...Jina kabula Aliwahi kutoka na Tuesday mwigizaji mwenzake ni walipata mtoto pia siku za karibuni alikuwa anatoka na Bushoke
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment