Uhalifu, Usaliti, ukatili, mapenzi na mikasi! Beyonce na Jay Z wameachia trailer ya filamu iitwayo ‘RUN’ … japo usitegemee filamu yenyewe kutoka soon.
Mume na mke huyo Jumamosi hii wamefanya surprise ya trailer ya ziara yao ya On The Run Tour, itakayoanza mwezi ujao.




Trailer hiyo kali yenye dakika tatu inamaliza kwa mkwara ‘coming never,’ ikiwa na maana kuwa hakutakuwa na movie yake japo ukiangalia hakuna shaka kuwa wengi wangependa iwepo.
No comments:
Post a Comment