Dhumuni kubwa la blog hii ni kukupa habari moto moto ,kiburudani, michezo kisiasa nk Lakini pia unaweza kutangaza biashara yako kupitia blog hii ili kukuwezesha kupata wateja katika soko la biashara yako/ . Karibu sana utembelee blog hii uweze kupata mambo mazuri yatakayokufanya usijihisi mpweke
My Blog List
Tuesday, May 20, 2014
Madereva Wagomea na Kukisusa Kituo Kipya cha Daladala Ubungo Mwenge
Wamiliki na madereva wanayofanya safari zake kati ya Ubungo na Mwenge jijini Dar leo wamegomea amri ya kutumia kituo kipya walichoamriwa na serikali kukitumia kilichopo nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower, Ubungo jijini Dar. Mwanahabari wetu alitembelea kituo hicho na kukuta mafundi wakiendelea na ujenzi huku kukiwa na marundo ya vifusi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment