Saturday, May 17, 2014

MANENO YA MADEE JUU YA UHUSIANO WAKE WA KIMAPENZI NA JINI KABULA Read more: http://www.vitukovyamtaanews.com/2014/05/maneno-ya-madee-juu-ya-uhusiano-wake-wa.html#ixzz31znA6Fvc


Rais wa Manzese Madee kwa sasa inasemekena ana uhusiano wa kimapenzi na mmoja kati ya wakina dada wanaotokea kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Jini Kabula,Soudy Brown kaongea na Madee ambapo hiki ndicho 
alichokizungumza Madee baada ya swali hilo. Madee>>’Mimi bado sitoki mtu,nikiwa tayri nitawaambia mbona mwanzi nilipokuwa natoka na Yule wa mwanzo niliwaambia kwa hiyo ikiwa tayari nitawaambia,huyo kabula mi mshkaji wangu kuna kazi tunafanya itakuja mtaona.
 Soudy Brown  alipomuuliza kuwa mbona mtaani wanaonekana sana wakiwa pamoja kama madukani,kuogelea na sehemu tofauti Madee amejibu >>’Hakuna kitu kama hicho.

Read more: http://www.vitukovyamtaanews.com/2014/05/maneno-ya-madee-juu-ya-uhusiano-wake-wa.html#ixzz31zn3F72Y

No comments:

Post a Comment