Dhumuni kubwa la blog hii ni kukupa habari moto moto ,kiburudani, michezo kisiasa nk Lakini pia unaweza kutangaza biashara yako kupitia blog hii ili kukuwezesha kupata wateja katika soko la biashara yako/ . Karibu sana utembelee blog hii uweze kupata mambo mazuri yatakayokufanya usijihisi mpweke
My Blog List
Saturday, May 17, 2014
TID NA RECHO WA THT WAONGELEA KUHUSU TETESI KUWA NI WAPENZI Read more: http://www.vitukovyamtaanews.com/2014/05/tid-na-recho-wa-tht-waongelea-kuhusu.html#ixzz31zmIueRx
Maneno ya Recho baada ya kuulizwa kuhusu uhusiano wake na Tid >>’Tunaishi wapi na tid,mimi sikai Kinondoni mimi nina mtu wangu na sio huyo Tid naomba msije kunivurugia mapenzi yangu na mtu wangu’.Haya nayo ni maneno ya Tid>>’Hivi wewe lini umeniona mimi na Recho zaidi ya kwenda studio na kuondoka hii inakuaje sasa demu wangu mpaka nimuoe mara mbili tu nimeonana nae, mahaba hayo mi siyajui hayo unayajua wewe’.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment