JUMATANO Mbeya City wanatinga Uwanjani huko Nchini Sudan kucheza na Enticelles ya Rwanda wakisaka nafasi ya kucheza Robo Fainali ya CECAFA NILE BASIN CUP.
Baada kushinda Mechi moja na kufungwa 1, Mbeya City wanahitaji Sare tu, au hata kufungwa chini ya Bao 3-0, ili kujihakikishia kusonga kwani Kundi B, pamoja na Kundi A, inatoa Timu 3 kwenda Robo Fainali wakati Kundi C litatoa Timu mbili tu.
Mechi nyingine ya mwisho ya Kundi B ni kati ya AFC Leopards ya Kenya, ambao washatinga Robo Fainali, na Academie Tchite ya Burundi ambao wako kwenye hali kama Mbeya City wakihitaji Sare tu au kufungwa Goli chache ili kusonga.
Jioni hii, Victoria University ya Uganda iliichapa Polisi ya Zanzibar, ambayo ilikwishaaga Mashindano, Bao 3-0.
Polisi ilipoteza Mechi zake zote mbili za kwanza kwa kufungwa 3-0 kila Mechi.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
KUNDI A
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
GD
|
PTS
|
3
|
Victoria
|
3
|
2
|
1
|
0
|
4
|
0
|
4
|
7
|
2
|
Al-Merreikh
|
2
|
1
|
1
|
0
|
3
|
0
|
3
|
4
|
1
|
Malakia
|
2
|
1
|
0
|
1
|
3
|
1
|
2
|
3
|
4
|
Polisi
|
3
|
0
|
0
|
0
|
0
|
9
|
-9
|
0
|
KUNDI B
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
GD
|
PTS
|
1
|
AFC Leopards
|
2
|
2
|
0
|
0
|
4
|
1
|
3
|
6
|
2
|
Mbeya City
|
2
|
1
|
0
|
1
|
4
|
4
|
0
|
3
|
3
|
Academie
|
2
|
1
|
0
|
1
|
3
|
3
|
0
|
3
|
4
|
Enticelles
|
2
|
0
|
0
|
2
|
0
|
3
|
-3
|
0
|
KUNDI C
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
GD
|
PTS
|
1
|
Al-Shandy
|
1
|
1
|
0
|
0
|
2
|
1
|
1
|
3
|
2
|
Defence
|
1
|
1
|
0
|
0
|
2
|
1
|
1
|
3
|
3
|
Dkhill
|
2
|
0
|
0
|
2
|
2
|
4
|
-3
|
0
|
**KUNDI A & B zitatoa Timu 3 kusonga Robo Fainali na KUNDI C Timu 3.
RATIBA/MATOKEO
Ijumaa Mei 23
Victoria University (Uganda) 1 - 0 Malakia (South Sudan)
Al-Merreikh [Sudan] 3 - 0 Police [Zanzibar]
Al-Shandy [Sudan] 2 - 1 Dkhill [Djibouti]
Jumamosi Mei 24
Mbeya City [Tanzania] 3 Academie Tchite [Burundi] 2
AFC Leopards [Kenya] 2 Etincelles [Rwanda] 0
Jumapili Mei 25
Polisi 0 Malakia 3
Al Merreikh 0 Victoria University 0
Dkhill 1 Defence 2
Jumatatu Mei 26
Academie Tchite 1 Enticelles 0
Mbeya City 1 AFC Leopards 2
Jumanne Mei 27
Polisi 0 Victoria University 3
Malakia v Al-Merreikh
Jumatano Mei 28
Enticelles v Mbeya City
AFC Leopards v Academie Tchite
Defence v Al Shandy
No comments:
Post a Comment