Tuesday, May 27, 2014

Mimba za mapema zaongeza kasi ya kutelekezwa watoto hospitalini Kenya

 

Mimba za mapema zaongeza kasi ya kutelekezwa watoto hospitalini Kenya
Imeelezwa kuwa, mimba za mapema zimekuwa chanzo na sababu kubwa ya kutelekezwa watoto wachanga katika hospitali mbalimbali za mkoani Pwani nchini Kenya, punde mama zao wanapojifungua.
Habari zinasema kuwa, wasichana wengi wanaobeba ujauzito mapema na bila ya kutarajia, huandikisha majina bandia hospitalini na halafu kukimbia mara wanapojifungua.
Mwandishi wa Radio Tehran mjini Mombasa Kenya ametuandalia ripoti ifuatayo:

No comments:

Post a Comment