Asasi huru za kiraia nchini Burundi zimetaka kuachiliwa huru bila ya masharti yoyote, mwanaharakati Pierre Claver Mbonimpa, mwenyekiti wa shirika la haki za binadamu la Aprodh.
Asasi hizo zimesema kuwa, kushikiliwa mwanaharakati huyo kuna lengo la kuwafunga midomo na kuwatisha wanaharakati wa haki za binadamu nchini Burundi.
Mwandishi wa Radio Tehran mjini Bujumbura, Mwajuma Shaaban na
No comments:
Post a Comment