Ndani ya miaka hiyo kumi na tano Dully ana miliki mijengo, ana watoto watatu, ana album mbili za Historia ya kweli 2002, pamoja na Handsome 2003, Hunifahamu 2005.. pia ana miliki magari. Dully Sykes anamiliki studio iitwayo dhahabu records na 1.4 ambayo atafungua pia academy ya production hivi karibuni.
Mwanzoni mwa mwaka huu Dully alisema anahamisha makazi ya studio 1.4 kutoka Tabata ili awafate wateja maeneo ya Kariakoo ila uamuzi huo ameubadilisha.Msikie Dully akifungukaa.
No comments:
Post a Comment