Ndani
ya sa 48 kitakuwa kimeeleweka na matajiri hao wanaonekana wala hawafanyi utani
katika hilo.
Luiz
,27, atakuwa beki ghali zaidi kama atanunuliwa kwa fedha hizo na kumpiku Mbrazil
mwenzake, Thiago Silva ambaye ni pacha wake kwenye timu ya
taifa.
PSG
imesisitiza haifanyi utani badala yake inamhitaji Luis ambaye ana uwezo mkubwa
wa kucheza namba zote za difensi pamoja na namba
sita.
TOP
10 ya mabeki ghali zaidi duniani (kwa pauni):
1.
Thiago Silva (AC Milan to PSG) - 35.3m
2.
Marquinhos (Roma to PSG) - 30.1m
3.
Rio Ferdinand (Leeds to Man United) - 30m
4.
Alessandro Nesta (Lazio to AC Milan) 26.1m
5.
Pepe (Porto to Real Madrid) - 25.2m
6.
Fabio Coentrao (Benfica to Real) - 25.2m
7.
Dani Alves (Sevilla to Barcelona) - 23.5m
8.
Lillian Thuram (Parma to Juventus) - 22m
9.
David Luiz (Benfica to Chelsea) - 21.3m
10.
Ricardo Carvalho (Porto to Chelsea) - 20m
TOP
10 ya waliouzwa kutoka Premier League (kwa pauni)
1.
Gareth Bale (Spurs to Real Madrid) 86m
2.
Cristiano Ronaldo (United to Real) - 80m
3.
Cesc Fabregas (Arsenal to Barca) - 35m
4.
Luka Modric (Spurs to Real Madrid) - 30m
5.
Xabi Alonso (Liverpool to Real Madrid) - 30m
6.
David Beckham (Man United to Real) - 25m
7.
Marc Overmars (Arsenal to Barcelona) 25m
8.
Arjen Robben (Chelsea to Real Madrid) 25m
9.
Nicolas Anelka (Arsenal to Real) - 22.3m
10.
Mario Balotelli (Man City to AC Milan) - 19m
No comments:
Post a Comment