Zaidi
ya mashabiki 80,000 wamejitokeza kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu jijini
Madrid wamejitokeza kuangalia mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa
Ulaya.
Ingawa
fainali hiyo ilikuwa inachezwa jijini Lisbon, Ureno, mashabiki hao walijitokeza
kwa wingi kwenye uwanja wao wa nyumbani.
Hata
hivyo walilazimika kukaa kimya kwa dakika 90 kutokana na Atletico Madrid kuwa
kiwembe na kupata bao mapema.
Segio
Ramos alisawazisha kabla ya Bale, Marcelo na Ronaldo kufunga mengine matatu na
kuzaa matokeo ya ushindi wa mabao 4-1.
Real
Madrid wamechukua kombe la 10 la Ligi ya Mabingwa
Ulaya.
No comments:
Post a Comment