Monday, May 19, 2014

Familia ni Kila Kitu-Baada ya Ugomvi Beyonce akaenda Kumtembelea Mdogo Wake

Baada ya Ugomvi wa Jay Z na Shemeji Yake Solange kurekodiwa na Kusambaa Mtandaoni kila kona watu mpaka leo wanajadili kuhusu ugomvi huo lakini wenyewe walishayamaliza na kuyasahau kabisa , Siku ya Pili tu Beyonce alikwenda kumtembelea Mdogo wake Kwake na kupiga picha hiyo hapo juu..Family Is Everything Bwana...Nyie kaeni kupiga Domo

No comments:

Post a Comment